Water Service
- Maji IS
- Water Production Data Entry
- Dashboard
1. | PIGA *152*00# |
2. | CHAGUA 6.MAJI |
3. | CHAGUA 1. HUDUMA ZA MAJI ZA PAMOJA |
4. | CHAGUA 6 ULIZA BILI |
5. | INGIZA NAMBA YA AKAUNTI |
6. | CHAGUA NAMBA 1 |
7. | INGIZA NAMBA YAKO YA SIRI |
8. | UTAPOKEA UJUMBE WA BILI KUTOKA 15200 |
News
August
25
2023
MORUWASA, WAMIRUVU KUSHIRIKIANA NA WORLD WATERNET KUHIFADHI KIDAKIO CHA NGERENGERE
Shirika la World Waternet Kupitia Progamu ya WaterWorx limekutana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) na Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu na kujadili mpango kazi wa pamoja wa kuhifadhi kidakio cha Ngerengere katika kikao kilichofanyika mapema leo A katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA .
August
24
2023
MORUWASA YASHIRIKISHA WADAU MAPENDEKEZO YA BEI MPYA ZA MAJI
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) imekutana na wadau mbalimbali na kupokea maoni yao kuhusu mapendekezo ya bei Mpya za huduma za Maji kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Edema, Morogoro.