Video Gallery

MORUWASA

Zoezi la Usafishaji vyanzo vya maji vya vituli namwanzomgumu, uhamasishaji wa wananchi wanaoishi karibu na vyanzo hivyo kutunza mazingira, kutofanya shughuli za binadamu kwenye vyanzo vyanzo vya maji kama kufulia mtoni moja kwa moja,kuelekeza namna bora ujenzi wa vyoo ili visichafue vyanzo vya maji pamoja na kilimo bora ambacho ni rafiki wautunzaji wa ubora wa maji .

Posted On: March, 23,2020

Ujenzi wa tan ki kubwa la maji

Ujenzi wa tanki la mguru wa ndege lililopo kata ya mkudi mkoani morogoro, ambalo litatatua changamoto ya huduma ya majisafi katika maeneo ya lukobe, mkundi na kiegeya.

Posted On: January, 2020