Ongoing Project

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOROGORO

MIRADI YA MAJISAFI NA MAJITAKA ILIYOTEKELEZWA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2015-2020

Na

Mkoa

Jina la Mradi

Kazi zilizopangwa

Kazi zilizotekelezwa/zinazotekelezwa

Jina La Mkandarasi

Tarehe ya kusaini Mkataba

Tarehe ya kuanza kazi

Tarehe ya kukamilika kazi

Gharama ya Mradi

Kiasi kilicholipwa

Hali ya Mradi (status in %)

Idadi ya wanufaika

Aina ya chanzo cha maji kilichotumika kwenye Mradi

1 Morogoro

Ujenzi wa mradi wa maji katika mji wa Kidodi

Maboresho ya miundo mbinu ya maji pamoja na banio na ujenzi wa machujio ya maji

Maboresho ya miundo mbinu ya maji, ujenzi wa machujio ya maji

MORUWASA

Jan, 2019

Jan, 2020

461,000,000.00

210,000,000.00

99%

10,200

Mto

2 Morogoro

Ujenzi wa mradi wa maji Magadu

Ujenzi wa bomba kuu lenye kipenyo cha 150mm kutoka kwenye banio hadi kwenye tenki umbali wa 11km. Ujenzi wa birika lenye mita  za ujazo 300 na  ujenzi wa miundombinu ya usambazaji maji kata ya Magadu

Ulazaji wa bomba umbali wa mita 1200 umefanyika.

MORUWASA

6/12/2019

6/5/2020

    2,252,656,952.97

                 20,775,000.00

3% 5,475.00 Mto
3 Morogoro

Ujenzi wa Birika la maji lenye ujazo 2000m3 Mguluwandege katika Mji wa Morogoro

Ujenzi wa birika lenye ujazo 2000m3

Maandalizi ya ujenzi wa birika

MORUWASA

6/12/2019

6/5/2020

608,513,093.00

8,540,000.00

5% 130,768 Bwawa Na Mto