Payment Methods

HOW TO PAY BILLS

Step1

*150*01#

Step2

4 Lipia bili

Step3

5 Malipo ya serikali

Step4

Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)

Step5

Ingiza kiasi

Step5Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo

Step1

*150*00#

Step2

4 Lipia kwa M-pesa

Step3

5 Malipo ya serikali

Step4

1 Namba ya malipo

Step5

Weka namba ya malipo (ni kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopata kila mwezi

Step6

Weka kiasi unachodaiwa

Step7

Weka namba ya siri kukamilisha malipo

Step1

*150*60#

Step2

5 Lipia bili

Step3

Malipo ya serikali

Step4

1 weka namba ya kumbukumbu

Step5

Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)

Ingiza kiasi cha pesa unachodaiwa

Weka namba ya siri kulipia

Step1

*150*71#

Step2

5 Lipia bili

Step3

3 Malipo ya serikali

Step4

Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)

Step5

Lipia bili

Step6

Weka kiasi

Step7

Ingiza namba ya siri

Step1

*150*88#

Step2

4 Lipa kwa halo-pesa

Step3

7 Huduma za serikali

Step4

Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)

Step5

Ingiza kiasi

Step6

Weka namba ya siri kukamilisha malipo

& & &