Read More.....
MORUWASA imekabidhiwa Mabwawa ya Majitaka yaliyokua yakifanyiwa Ukarabati na Kampuni Tanzu ya Shirika la Mzinga Makao Makuu Morogoro baada ya Ukarabati kukamilika, Mabwawa hayo yamekabidhiwa mbele ya Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Dkt. Tito Kazige.
2020 MORUWASA imeshiriki Ziara ya Ujumbe wa Maseneta kutoka Ufaransa ambao umetembelea Miradi inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) katika maeneo ya Bwawa la Mindu, Mafiga Treatment plant na Mabwawa ya majitaka Mafisa. Maseneta hao wameahidi ushirikiano katika kuleta maendeleo kwenye huduma ya Majisafi na Uondoshaji wa majitaka.