Completed Project

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOROGORO

MIRADI YA MAJISAFI NA MAJITAKA ILIYOTEKELEZWA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2015-2020

Na

Mkoa

Jina la Mradi

Kazi zilizopangwa

Kazi zilizotekelezwa/zinazotekelezwa

Jina La Mkandarasi

Tarehe ya kusaini Mkataba

Tarehe ya kuanza kazi

Tarehe ya kukamilika kazi

Gharama ya Mradi

Kiasi kilicholipwa

Hali ya Mradi (status in %)

Idadi ya wanufaika

Aina ya chanzo cha maji kilichotumika kwenye Mradi

1
Morogoro

Ujenzi wa mradi wa Maji Kilosa

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 26.98km, Ujenzi wa tenki lenye mita za ujazo 1000,  Uchimbaji wa visima 2 ukarabati wa visima 5, ufungaji wa umeme kwenye vituo vya kusukuma maji . Ufungaji wa pampu za kuzamishwa 6 kati ya  7 na  Ufungaji wa Booster pump 2  eneo la mlimani. Ujenzi wa nyumba ya klorini na uwekaji wa vifaa  na Ujenzi wa Karakana na Stoo.

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 26.98km, Ujenzi wa tenki lenye mita za ujazo 1000,  Uchimbaji wa visima 2 ukarabati wa visima 5, ufungaji wa umeme kwenye vituo vya kusukuma maji . Ufungaji wa pampu za kuzamishwa 6 kati ya  7 na  Ufungaji wa Booster pump 2  eneo la mlimani. Ujenzi wa nyumba ya klorini na uwekaji wa vifaa umefanyika na Ujenzi wa Karakana na Stoo.

China Civil Enginnering Construction Corporation

16.09.2010

25.11.2010

31.08.2017

Tshs 1906,433,137.66 na USD 1,292,289.76

Tsh 1199,682,755.05 na USD 570,236.76

100

33,000

Visima

2
Morogoro
Ujenzi wa mradi wa Maji Gairo

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 43km, Ujenzi wa matenki wawili ya maji yenye mita za ujazo 500 kila moja, Ujenzi wa tenki moja lenye mita za ujazo 1000,  Uchimbaji wa visima 8, Ufungaji wa umeme kwenye vituo vya kusukuma maji . . Ujenzi wa nyumba ya klorini na uwekaji wa vifaa  na Ujenzi wa Karakana na Stoo.

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 36 km, Ujenzi wa matenki wawili ya maji yenye mita za ujazo 500 kila moja, Ujenzi wa tenki moja lenye mita za ujazo 1000,  Uchimbaji wa visima 8, Ufungaji wa umeme kwenye vituo vya kusukuma maji . Ujenzi wa nyumba ya klorini na uwekaji wa vifaa, Ujenzi wa Karakana, Stoo

Serengeti LTD

15.06.2010

20.08.2011

31.01.2020

5,315,612,551 na USD1,919,763

         7,717,044,910.11

100
32,808
Visima
3
Morogoro
Ujenzi wa mradi wa Maji Gairo

Ununuzi na ufungaji wa mtambo wa kuchuja chumvi.Ufungaji wa pampu za kuzamishwa 8,  Ufungaji wa Booster pump 2

Ununuzi na ufungaji wa mtambo wa kuchuja chumvi, ufungaji wa pampu 7 za kuzamisha na 2 za kubusti umefanyika na kukamilika

Protecno Srl

18.10.2018

18.11.2018

31.01.2020

USD 1,003,876

USD 344,719.00

100
32,808
Visima
4
Morogoro

Ujenzi wa mradi wa maji Mvomero

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu wa 23.476 km, Ujenzi wa tenki lenye mita za ujazo 500, uchimbaji wa kisima kimoja na ukarabati wa kisima kimoja, Ujenzi wa nyumba ya clorini, ujenzi wa nyumba 2 za mitambo, ufungaji wa umeme, ununuzi wa vifaa vya umeme mitambo na pampu 2, ujenzi wa karakana na stoo

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu wa 23.476 km, Ujenzi wa tenki lenye mita za ujazo 500, uchimbaji wa kisima kimoja na ukarabati wa kisima kimoja, Ujenzi wa nyumba ya clorini, ujenzi wa nyumba 2 za mitambo, ufungaji wa umeme, ununuzi wa vifaa vya umeme mitambo na pampu 2, ujenzi wa karakana na stoo

China Civil Enginnering Construction Corporation

20.08.2010

 

01.09.2017

Tshs 1545,677,590.60 na USD 775,303.79

Tsh 825,208,439.30 na USD 298,201.34

100

27,321

Visima
5
Morogoro

Ujenzi wa mradi wa maji Turiani

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 45km. Ujenzi wa tenki lenye mita za ujazo 2000 na lenye mita za ujazo 300. Uchimbaji wa kisima 1, ununuzi wa vifaa vya umeme mitambo, ufungaji wa umeme, ununuzi na ufungaji wa pampu kwenye kisima kimoja.Ujenzi wa nyumba ya clorine, Ujenzi wa Karakana 1 na Stoo 1

Ujenzi wa mtandao wa Maji wenye urefu 45km. Ujenzi wa tenki lenye mita  ujazo 300. Uchimbaji wa kisima 1, ununuzi wa vifaa vya umeme mitambo, ufungaji wa umeme, ununuzi na ufungaji wa pampu kwenye kisima kimoja.Ujenzi wa nyumba ya clorine, Ujenzi wa Karakana 1 na Stoo 2

Luqman

16.09.2010

16.09.2010

23.08.2018

    3,580,189,995.78

   2,711,938,793.17

100

44,900

Kisima
6
Morogoro

Upanuzi wa mtandao wa Maji Kihonda Kilimanjaro

Ujenzi wa mtandao wa bomba wenye urefu wa 22.5 km, ujenzi wa chemba 26 na Pipe marker 225

Ujenzi wa mtandao wa bomba wenye urefu wa 22.5 km, ujenzi wa chemba 26 na Pipe marker 226

Wimbe Consult Ltd

13 April, 2017

28 April, 2017

28 July, 2019

    715,479,000.00

   476,049,100.00

100
8,000
Bwawa
7
Morogoro

Upanuzi wa mfumo wa majitaka kutoka Kihonda airport hadi Mafisa

Uchimbaji wa mitaro 3.03km, Ulazaji na Ufukiaji wa Mabomba yenye kipenyo cha 200, 250 na 300mm umbali wa 3.03km na Ujenzi wa chemba 80

Uchimbaji wa mitaro 3.03km, Ulazaji na Ufukiaji wa Mabomba yenye kipenyo cha 200, 250 na 300mm umbali wa 3.03km na Ujenzi wa chemba 72

Ngogo Engineering Co.Ltd

7 Agosti 2017

28 Aprili, 2017

28 Disemba, 2018

    493,986,633.00

   466,602,440.50

100
3,500
Bwawa
8
Morogoro

Utanuzi wa mtandao wa maji safi eneo la Kihonda kaskazini na Mkundi

Ujenzi wa mtandao wa bomba kuu la maji safi umbali wa 11.6km, Ujenzi wa Chemba 34

Ujenzi wa mtandao wa bomba kuu la maji safi umbali wa 11.6km, Ujenzi wa Chemba 20

Gilco(2000)Co.Ltd

12 Aprili, 2017

28 Aprili, 2017

30 Septemba, 2019

    333,064,500.00

      271,673,100.00

100
3,500
Bwawa
9
Morogoro

Ujenzi wa Kituo cha kusukuma maji Mizani

Ujenzi wa nyumba ya pampu(3mX4m), Ununuzi na ufungaji wa pampu ya kubusti, Kupeleka umeme kwenye kituo

Ujenzi wa nyumba ya pampu(3mX4m), Ununuzi na ufungaji wa pampu ya kubusti, Kupeleka umeme kwenye kituo

Wimbe Consult Ltd

7 Agosti 2017

21 Agosti, 2017

21 June, 2019

    256,614,482.00

   130,139,595.15

100
13,200
Bwawa
10
Morogoro

Ujenzi wa bomba kuu kutoka Mizani hadi tenki la Kiegea

Ujenzi wa bomba kuu lenye kipenyo cha 150mm urefu wa 2.0km na ujenzi wa chemba 5 na pipe marker 40

Ujenzi wa bomba kuu lenye kipenyo cha 150mm umbali wa 2.0km na ujenzi wa chemba 5 na pipe marker 40

SK Building & Civil engineering

12 Aprili, 2017

28 Aprili, 2017

28 August, 2017

    248,289,000.00

   217,813,300.00

100
2,000
Bwawa
11
Morogoro

Ujenzi wa bomba kuu  kutoka Viwandani hadi kituo cha kusukuma maji Mizani

Ujenzi wa bomba kuu lenye kipenyo cha 300mm  uPVC class B, urefu wa 5.8km na ujenzi wa chemba 9, pipe marker 60 na Fire hydrant 3

Ujenzi wa bomba kuu lenye urefu wa 5.8km na ujenzi wa chemba 9, pipe marker 60 na Fire hydrant 3

Juin Company Ltd

12 Aprili, 2017

28 Aprili, 2017

30 June, 2018

     729,343,100.00

      650,679,930.00

100%
20,333
Bwawa
12
Morogoro
Upanuzi wa mtandao wa maji katika mji wa Turiani
Ulazaji wa mabomba za usambazaji (40mmØ -90mmØ) umbali wa 9.987km. Ulazaji wa bomba kuu (uPVC) lenye kipenyo cha 250mmØ umbali wa 1.2km.Ulazaji wa bomba za chuma (Still Pipes) zenye kipenyo cha 200mmØ umbali wa 300m. Ulazaji wa bomba za uPVC 200 mmØ umbali wa 1.3km. Ujenzi wa banio/kingamaji. Ujenzi wa tenki la kuchuja tope (sedimentation tank)
Ulazaji wa mabomba za usambazaji (40mmØ -90mmØ) umbali wa 9.987km. Ulazaji wa bomba kuu (uPVC) lenye kipenyo cha 250mmØ umbali wa 1.2km.Ulazaji wa bomba za chuma (Still Pipes) zenye kipenyo cha 200mmØ umbali wa 300m. Ulazaji wa bomba za uPVC 200 mmØ umbali wa 1.3km. Ujenzi wa banio/kingamaji. Ujenzi wa tenki la kuchuja tope (sedimentation tank)
Oldvai Decorators and General Suppliers
7 Agosti, 2017
21 Agosti, 2017
17 Agosti,  2018
 
388,251,574.4
 
306,791,197.00
100%
15,123
Mto
13
Morogoro

Upanuzi wa mtandao wa maji kwa mji wa Mahenge

Ujenzi wa mtanado wa bomba na viungio vyake urefu wa km 6, Ununuzi na ufungaji wa dira za maji 450

Ujenzi wa mtanado wa bomba na viungio vyake  urefu wa km 6, Ununuzi na ufungaji wa dira za maji 450

Philcon Brothers Co. Ltd

7 Agosti, 2017

21 Agosti, 2017

30 Agosti 2018

    172,563,200.00

   159,715,990.00

100%
6,000
Chemichemi
14
Morogoro

Uboreshaji wa huduma ya Maji katika mji wa Mikumi

Ukarabati wa banio, Ukarabati wa matenki mawili ya maji, Ujenzi wa mtandao wa maji wenye kipenyo cha 50-110mm umbali wa km 7.5, ununuzi wa dira 50 za 3/4'', ununuzi na ufungaji wa viungio mbalimbali

Ukarabati wa banio, Ukarabati wa matenki mawili ya maji, Ujenzi wa mtandao wa maji wenye kipenyo cha 50-110mm umbali wa km 7.5, ununuzi wa dira 50 za 3/4'', ununuzi na ufungaji wa viungio mbalimbali

SAJO CIVIL ENGINEERING CONSTRUCTION CO. LTD

23 Agosti,2018

7 Sept. 2018

30 March, 2019

    280,050,580.00

   242,903,885.00

100%
8,000.00
Mto
15
Morogoro

Uboreshaji wa huduma ya Maji katika mji wa Gairo

Ujenzi wa gabion kuzunguka nyumba ya pampu ya Mkalama, Ukarabati wa tenki lenye mita za ujazo 90, Ujenzi wa tenki la kupunguza mgandamizo wa maji(BPT), ununuzi na ufungaji wa bomba za chuma na viungio vyake kwenye maeneo ya makorongo, Ujenzi wa chemba 8

Ujenzi wa gabion kuzunguka nyumba ya pampu ya Mkalama, Ukarabati wa tenki lenye mita za ujazo 90, Ujenzi wa tenki la kupunguza mgandamizo wa maji(BPT), ununuzi na ufungaji wa bomba za chuma na viungio vyake kwenye maeneo ya makorongo, Ujenzi wa chemba 9

KOBERG CONSTRUCTION CO. LTD

21Agosti,2018

06Sept.2018

30 Nov. 2019

    348,329,923.00

   111,588,323.00

100%
18,150
Chemichemi

 

16

Morogoro

Upanuzi wa mtandao wa maji kwa mji wa Ifakara

Ujenzi wa mtandao wa  bomba na viungio vyake wenye urefu wa 8.962km, Ukarabati wa kisima kilichopo, kuunganisha nishati ya umeme, ujenzi wa nyumba 2 za pampu (2.5*2.5), ununuzi na ufungaji wa  pampu 2 za kuzamisha kwenye visima vya Lipangalala na Maendeleo

Ujenzi wa mtandao wa  bomba na viungio vyake wenye urefu wa 8.962km, Ukarabati wa kisima kilichopo, kuunganisha nishati ya umeme, ujenzi wa nyumba 2 za pampu (2.5*2.5), ununuzi na ufungaji wa  pampu 2 za kuzamisha kwenye visima vya Lipangalala na Maendeleo

Philcon Brothers Co. Ltd

7 Agosti, 2017

21 Agosti, 2017

21 Februari 2018

 

    293,944,254.00

 

   241,797,794.00

100%
1,250
Visima